2 Samueli 6:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Hata ikawa, watu waliolichukua sanduku la BWANA walipokwisha kwenda hatua sita, akachinja fahali na ndama mnono. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Watu wale waliolibeba sanduku la Mwenyezi-Mungu kila walipopiga hatua sita, Daudi alitoa tambiko: Fahali na ndama mmoja mnono. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Watu wale waliolibeba sanduku la Mwenyezi-Mungu kila walipopiga hatua sita, Daudi alitoa tambiko: Fahali na ndama mmoja mnono. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Watu wale waliolibeba sanduku la Mwenyezi-Mungu kila walipopiga hatua sita, Daudi alitoa tambiko: fahali na ndama mmoja mnono. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Wale waliokuwa wamebeba Sanduku la Mwenyezi Mungu walipotembea hatua sita, Daudi alitoa dhabihu fahali na ndama aliyenoneshwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Wale waliokuwa wamebeba Sanduku la bwana walipokuwa wametembea hatua sita, Daudi alitoa dhabihu fahali na ndama aliyenoneshwa. Tazama sura |