2 Samueli 5:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Basi Daudi akauliza kwa BWANA, akisema, Je! Nipande juu ya Wafilisti? Utawatia mkononi mwangu? Naye BWANA akamwambia Daudi, Panda; kwa kuwa hakika nitawatia Wafilisti mikononi mwako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Basi, Daudi alimwuliza Mwenyezi-Mungu shauri, “Je, niende kuwashambulia Wafilisti? Je, utawatia mikononi mwangu?” Naye Mwenyezi-Mungu akamwambia Daudi, “Nenda, maana hakika nitawatia Wafilisti mikononi mwako.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Basi, Daudi alimwuliza Mwenyezi-Mungu shauri, “Je, niende kuwashambulia Wafilisti? Je, utawatia mikononi mwangu?” Naye Mwenyezi-Mungu akamwambia Daudi, “Nenda, maana hakika nitawatia Wafilisti mikononi mwako.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Basi, Daudi alimwuliza Mwenyezi-Mungu shauri, “Je, niende kuwashambulia Wafilisti? Je, utawatia mikononi mwangu?” Naye Mwenyezi-Mungu akamwambia Daudi, “Nenda, maana hakika nitawatia Wafilisti mikononi mwako.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 kwa hiyo Daudi akamuuliza Mwenyezi Mungu, “Je, niende kuwashambulia Wafilisti? Je, utawatia mikononi mwangu?” Mwenyezi Mungu akamjibu, “Nenda, kwa maana hakika nitawatia Wafilisti mikononi mwako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 kwa hiyo Daudi akamuuliza bwana, “Je, niende kuwashambulia Wafilisti? Je, utawatia mikononi mwangu?” bwana akamjibu, “Nenda, kwa maana hakika nitawatia Wafilisti mikononi mwako.” Tazama sura |