2 Samueli 4:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 na hao Wabeerothi walikimbia kwenda Gitaimu, ndipo wanapokaa kama wageni hata hivi leo.) Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Wakazi wa Be-erothi walikimbilia Gitaimu, na wameishi huko kama wageni hadi leo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Wakazi wa Be-erothi walikimbilia Gitaimu, na wameishi huko kama wageni hadi leo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Wakazi wa Be-erothi walikimbilia Gitaimu, na wameishi huko kama wageni hadi leo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 kwa sababu watu wa Beerothi walikimbilia huko Gitaimu na wameishi huko kama wageni hadi leo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 kwa sababu watu wa Beerothi walikimbilia huko Gitaimu na wameishi huko kama wageni mpaka siku hii ya leo. Tazama sura |