2 Samueli 3:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Mungu amfanyie Abneri vivyo hivyo, na kuzidi, nisipomtendea Daudi kama vile BWANA alivyomwapia; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mungu aniue ikiwa sitatekeleza yote ambayo Mwenyezi-Mungu alimwapia Daudi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mungu aniue ikiwa sitatekeleza yote ambayo Mwenyezi-Mungu alimwapia Daudi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mungu aniue ikiwa sitatekeleza yote ambayo Mwenyezi-Mungu alimwapia Daudi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Mungu na amwadhibu Abneri vikali zaidi ikiwa sitafanya kwa ajili ya Daudi kile Mwenyezi Mungu alichomwahidi kwa kiapo, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Mungu na amshughulikie Abneri, tena kwa ukali, ikiwa sitafanya kwa ajili ya Daudi kile bwana alichomwahidi kwa kiapo, Tazama sura |