2 Samueli 3:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC33 Ndipo mfalme akamwomboleza Abneri, akasema, Ilimpasaje Abneri kufa afavyo mpumbavu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Mfalme alimwombolezea Abneri akisema, “Je, ilikuwaje Abneri akafa kama mpumbavu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Mfalme alimwombolezea Abneri akisema, “Je, ilikuwaje Abneri akafa kama mpumbavu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Mfalme alimwombolezea Abneri akisema, “Je, ilikuwaje Abneri akafa kama mpumbavu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Mfalme akaimba ombolezo hili kwa ajili ya Abneri: “Je, ilipasa Abneri afe kama anavyokufa mpumbavu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Mfalme akaimba ombolezo hili kwa ajili ya Abneri: “Je, ilipasa Abneri afe kama afavyo mpumbavu? Tazama sura |