2 Samueli 23:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Atakuwa kama nuru ya asubuhi jua lichapo, Asubuhi isiyo na mawingu. Likichipuza mimea ardhini, Kwa mwangaza baada ya mvua; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 yeye ni kama mwanga wa asubuhi, jua linapochomoza asubuhi isiyo na mawingu; naam, kama mvua inayootesha majani ardhini’. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 yeye ni kama mwanga wa asubuhi, jua linapochomoza asubuhi isiyo na mawingu; naam, kama mvua inayootesha majani ardhini’. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 yeye ni kama mwanga wa asubuhi, jua linapochomoza asubuhi isiyo na mawingu; naam, kama mvua inayootesha majani ardhini’. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 yeye ni kama mwanga wa asubuhi jua lichomozapo asubuhi isiyo na mawingu, kama mwanga baada ya mvua unaochipuza majani kutoka ardhini.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 yeye ni kama mwanga wa asubuhi jua lichomozapo asubuhi isiyo na mawingu, kama mwanga baada ya mvua uchipuzao majani kutoka ardhini.’ Tazama sura |