Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Samueli 23:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 ila huyo alisimama katikati ya konde lile, akalipigania, akawaua Wafilisti; naye BWANA akafanya wokovu mkuu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Lakini alisimama imara katikati ya shamba hilo ili kulitetea, naye akawaua Wafilisti. Mwenyezi-Mungu alijipatia ushindi mkubwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Lakini alisimama imara katikati ya shamba hilo ili kulitetea, naye akawaua Wafilisti. Mwenyezi-Mungu alijipatia ushindi mkubwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Lakini alisimama imara katikati ya shamba hilo ili kulitetea, naye akawaua Wafilisti. Mwenyezi-Mungu alijipatia ushindi mkubwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Lakini Shama akasimama imara katikati ya lile shamba. Akalipigania na kuwaua Wafilisti, naye Mwenyezi Mungu akawapa ushindi mkubwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Lakini Shama akasimama imara katikati ya lile shamba. Akalitetea na kuwaua Wafilisti, naye bwana akawapa ushindi mkubwa.

Tazama sura Nakili




2 Samueli 23:12
5 Marejeleo ya Msalaba  

huyo aliinuka, akawapiga Wafilisti hata mkono wake ukachoka, na mkono wake ukaambatana na upanga; naye BWANA akafanya wokovu mkuu siku ile; nao watu wakarudi nyuma yake ili kuteka nyara tu.


Huyo alikuwa pamoja na Daudi huko Pasdamimu; ndiko Wafilisti walikokusanyika vitani, palipokuwa na shamba lililojaa shayiri; na hao watu wakakimbia mbele ya Wafilisti.


Wokovu ni wa BWANA; Baraka yako na iwe juu ya watu wako.


Wewe kwa mkono wako uliwafukuza mataifa, Ukawakalisha wao. Wewe uliwatesa watu wa nchi, Ukawafanikisha wao.


Farasi huwekwa tayari kwa siku ya vita; Lakini BWANA ndiye aletaye wokovu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo