Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Samueli 23:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Na baada yake kulikuwa na Shama, mwana wa Agee, Mharari; nao Wafilisti walikuwa wamekusanyika huko Lehi, palipokuwapo shamba lililojaa midengu; nao watu wakawakimbia Wafilisti;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Shujaa wa tatu alikuwa Shama mwana wa Agee, Mharari. Wafilisti walikusanyika huko Lehi, mahali palipokuwa na shamba la dengu nyingi, nao Waisraeli waliwakimbia Wafilisti.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Shujaa wa tatu alikuwa Shama mwana wa Agee, Mharari. Wafilisti walikusanyika huko Lehi, mahali palipokuwa na shamba la dengu nyingi, nao Waisraeli waliwakimbia Wafilisti.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Shujaa wa tatu alikuwa Shama mwana wa Agee, Mharari. Wafilisti walikusanyika huko Lehi, mahali palipokuwa na shamba la dengu nyingi, nao Waisraeli waliwakimbia Wafilisti.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Aliyefuata alikuwa Shama mwana wa Agee Mharari. Wafilisti walipokusanyika pamoja mahali palipokuwa shamba lililojaa dengu, vikosi vya Israeli viliwakimbia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Aliyefuata alikuwa Shama mwana wa Agee, Mharari. Wafilisti walipokusanyika pamoja mahali palipokuwa shamba lililojaa dengu, vikosi vya Israeli viliwakimbia.

Tazama sura Nakili

2 Samueli 23:11
4 Marejeleo ya Msalaba  

Yakobo akampa Esau mkate na chakula cha dengu, naye akala, akanywa, kisha akaondoka, akaenda zake. Hivyo Esau akaidharau haki yake ya mzaliwa wa kwanza.

mwana wa Shama, Mharari, na Ahiamu, mwana wa Shalali, Mharari;

Shama Mharodi, Helesi Mpeloni;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo