2 Samueli 22:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Katika shida yangu nilimwita BWANA, Naam, nikamlalamikia Mungu wangu; Naye akaisikia sauti yangu hekaluni mwake, Kilio changu kikaingia masikioni mwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 “Katika taabu yangu, nilimwita Mwenyezi-Mungu; nilimwita Mungu wangu. Toka hekaluni mwake aliisikia sauti yangu, kilio changu kilimfikia masikioni mwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 “Katika taabu yangu, nilimwita Mwenyezi-Mungu; nilimwita Mungu wangu. Toka hekaluni mwake aliisikia sauti yangu, kilio changu kilimfikia masikioni mwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 “Katika taabu yangu, nilimwita Mwenyezi-Mungu; nilimwita Mungu wangu. Toka hekaluni mwake aliisikia sauti yangu, kilio changu kilimfikia masikioni mwake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 “Katika shida yangu nalimwita Mwenyezi Mungu, nilimlilia Mungu wangu. Kutoka Hekaluni mwake alisikia sauti yangu, kilio changu kikafika masikioni mwake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Katika shida yangu nalimwita bwana, nilimlilia Mungu wangu. Kutoka Hekaluni mwake alisikia sauti yangu, kilio changu kikafika masikioni mwake. Tazama sura |