2 Samueli 22:48 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC48 Naam, Mungu anilipiziaye kisasi, Na kuwatweza watu chini yangu, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema48 Yeye ameniwezesha kulipiza kisasi na kuyatiisha mataifa chini yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND48 Yeye ameniwezesha kulipiza kisasi na kuyatiisha mataifa chini yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza48 Yeye ameniwezesha kulipiza kisasi na kuyatiisha mataifa chini yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu48 Yeye ndiye Mungu anilipiziaye kisasi, ayawekaye mataifa chini yangu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu48 Yeye ndiye Mungu anilipiziaye kisasi, ayawekaye mataifa chini yangu, Tazama sura |
Naye Daudi aliposikia ya kwamba Nabali amekufa, alisema, Na ahimidiwe BWANA ambaye amenitetea teto la shutumu langu mkononi mwa Nabali, na kumzuia mtumishi wake asitende maovu; tena uovu wake Nabali BWANA amemrudishia juu ya kichwa chake mwenyewe. Kisha Daudi akatuma watu, akamposa Abigaili ili amwoe.