2 Samueli 22:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Maana ni nani aliye Mungu, ila BWANA? Ni nani aliye mwamba, ila Mungu wetu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 “Nani aliye Mungu isipokuwa Mwenyezi-Mungu? Nani aliye mwamba wa usalama ila Mungu wetu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 “Nani aliye Mungu isipokuwa Mwenyezi-Mungu? Nani aliye mwamba wa usalama ila Mungu wetu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 “Nani aliye Mungu isipokuwa Mwenyezi-Mungu? Nani aliye mwamba wa usalama ila Mungu wetu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Kwa maana ni nani aliye Mungu zaidi ya Mwenyezi Mungu? Ni nani aliye Mwamba isipokuwa Mungu wetu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Kwa maana ni nani aliye Mungu zaidi ya bwana? Ni nani aliye Mwamba isipokuwa Mungu wetu? Tazama sura |