Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Samueli 22:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

26 Kwa mtu mwenye fadhili utakuwa mwenye fadhili Kwa mkamilifu utajionesha kuwa mkamilifu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 “Wewe ni mwaminifu kwa walio waaminifu, mwema kwa wale walio wema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 “Wewe ni mwaminifu kwa walio waaminifu, mwema kwa wale walio wema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 “Wewe ni mwaminifu kwa walio waaminifu, mwema kwa wale walio wema.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 “Kwa yeye aliye mwaminifu unajionesha kuwa mwaminifu, kwa asiye na hatia unajionesha kutokuwa na hatia,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 “Kwa yeye aliye mwaminifu unajionyesha kuwa mwaminifu, kwa asiye na hatia unajionyesha kutokuwa na hatia,

Tazama sura Nakili




2 Samueli 22:26
3 Marejeleo ya Msalaba  

Kwake ajitakasaye utajionesha kuwa mtakatifu; Na kwa mpotovu utajionesha kuwa mkaidi.


Heri wenye rehema; Maana hao watapata rehema.


Maana hukumu haina huruma kwake yeye asiyeona huruma. Huruma hujitukuza juu ya hukumu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo