2 Samueli 22:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Ndipo ilipoonekana mikondo ya bahari, Misingi ya ulimwengu ikafichuliwa, Kwa kukemea kwake BWANA, Kwa mvumo wa pumzi ya puani mwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Mwenyezi-Mungu alipowakemea, kutokana na pumzi ya puani mwake, vilindi vya bahari vilifunuliwa, misingi ya dunia ikaonekana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Mwenyezi-Mungu alipowakemea, kutokana na pumzi ya puani mwake, vilindi vya bahari vilifunuliwa, misingi ya dunia ikaonekana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Mwenyezi-Mungu alipowakemea, kutokana na pumzi ya puani mwake, vilindi vya bahari vilifunuliwa, misingi ya dunia ikaonekana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Mabonde ya bahari yalifunuliwa, na misingi ya dunia ikawa wazi kwa kukaripia kwake Mwenyezi Mungu, kwa uvumi wa pumzi kutoka puani mwake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Mabonde ya bahari yalifunuliwa, na misingi ya dunia ikawa wazi kwa kukaripia kwake bwana, kwa uvumi wa pumzi kutoka puani mwake. Tazama sura |