2 Samueli 22:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Toka mwangaza uliokuwa mbele zake Makaa ya moto yakawashwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Umeme ulimulika mbele yake, kulilipuka makaa ya moto. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Umeme ulimulika mbele yake, kulilipuka makaa ya moto. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Umeme ulimulika mbele yake, kulilipuka makaa ya moto. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Kutokana na mwanga wa uwepo wake mwanga wa radi ukatoka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Kutokana na mwanga wa uwepo wake mawingu yalisogea, ikanyesha mvua ya mawe na umeme wa radi. Tazama sura |