2 Samueli 22:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Basi Daudi akamwambia BWANA maneno ya wimbo huu, siku ile BWANA alipomwokoa mikononi mwa adui zake wote, na mkononi mwa Sauli; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Daudi alimwimbia Mwenyezi-Mungu maneno ya wimbo ufuatao siku ile Mwenyezi-Mungu alipomkomboa mikononi mwa adui zake, na mkononi mwa Shauli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Daudi alimwimbia Mwenyezi-Mungu maneno ya wimbo ufuatao siku ile Mwenyezi-Mungu alipomkomboa mikononi mwa adui zake, na mkononi mwa Shauli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Daudi alimwimbia Mwenyezi-Mungu maneno ya wimbo ufuatao siku ile Mwenyezi-Mungu alipomkomboa mikononi mwa adui zake, na mkononi mwa Shauli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Daudi alimwimbia Mwenyezi Mungu maneno ya wimbo huu Mwenyezi Mungu alipomwokoa mikononi mwa adui zake wote, na pia mkononi mwa Sauli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Daudi alimwimbia bwana maneno ya wimbo huu wakati bwana alipomwokoa mikononi mwa adui zake wote, na pia mkononi mwa Sauli. Tazama sura |