2 Samueli 20:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 na Adoramu alikuwa akiwaongoza Shokoa; na Yehoshafati, mwana wa Ahiludi, alikuwa mwekaji kumbukumbu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Adoramu alikuwa msimamizi wa kazi za kulazimishwa; Yehoshafati alikuwa mwandishi wa kumbukumbu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Adoramu alikuwa msimamizi wa kazi za kulazimishwa; Yehoshafati alikuwa mwandishi wa kumbukumbu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Adoramu alikuwa msimamizi wa kazi za kulazimishwa; Yehoshafati alikuwa mwandishi wa kumbukumbu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Adoramu alikuwa kiongozi wa wale waliofanya kazi ya kulazimishwa; Yehoshafati mwana wa Ahiludi aliweka kumbukumbu; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Adoramu alikuwa kiongozi wa wale waliofanya kazi ya kulazimishwa; Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mweka kumbukumbu; Tazama sura |