2 Samueli 20:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Yoabu akajibu, akasema, Isiwe, isiwe kwangu, niumeze wala kuuharibu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Yoabu akamjibu, “Kamwe maishani mwangu! Sina nia kuangamiza wala kuharibu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Yoabu akamjibu, “Kamwe maishani mwangu! Sina nia kuangamiza wala kuharibu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Yoabu akamjibu, “Kamwe maishani mwangu! Sina nia kuangamiza wala kuharibu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Yoabu akajibu, “Hilo liwe mbali nami. Hilo liwe mbali nami kumeza au kuharibu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Yoabu akajibu, “Hilo liwe mbali nami. Hilo liwe mbali nami kumeza au kuharibu. Tazama sura |