2 Samueli 2:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 BWANA naye sasa awatendee ninyi fadhili na kweli; mimi nami nitawalipeni fadhili hiyo, kwa sababu mmetenda jambo hilo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Sasa, Mwenyezi-Mungu awafadhili na kuwa mwaminifu kwenu. Nami nitawatendea mema kutokana na jambo mlilolitenda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Sasa, Mwenyezi-Mungu awafadhili na kuwa mwaminifu kwenu. Nami nitawatendea mema kutokana na jambo mlilolitenda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Sasa, Mwenyezi-Mungu awafadhili na kuwa mwaminifu kwenu. Nami nitawatendea mema kutokana na jambo mlilolitenda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Sasa Mwenyezi Mungu na awaoneshe wema na uaminifu, nami pia nitawaonesha wema ule ule kwa kuwa mmefanya jambo hili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Sasa bwana na awaonyeshe wema na uaminifu, nami pia nitawaonyesha wema ule ule kwa kuwa mmefanya jambo hili. Tazama sura |