2 Samueli 18:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Na tazama, yule Mkushi akafika; Mkushi akasema, Nina habari kwa bwana wangu mfalme; kwa maana BWANA amekulipizia kisasi leo juu ya hao wote walioinuka kupigana nawe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Ndipo na yule Mkushi akafika; naye akasema, “Kuna habari njema kwako bwana wangu mfalme! Maana Mwenyezi-Mungu leo hii amekukomboa kutoka nguvu za wale wote walioinuka dhidi yako.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Ndipo na yule Mkushi akafika; naye akasema, “Kuna habari njema kwako bwana wangu mfalme! Maana Mwenyezi-Mungu leo hii amekukomboa kutoka nguvu za wale wote walioinuka dhidi yako.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Ndipo na yule Mkushi akafika; naye akasema, “Kuna habari njema kwako bwana wangu mfalme! Maana Mwenyezi-Mungu leo hii amekukomboa kutoka nguvu za wale wote walioinuka dhidi yako.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Ndipo huyo Mkushi akawasili na kusema, “Mfalme bwana wangu, sikia habari njema! Leo Mwenyezi Mungu amekuokoa kutoka kwa wale wote walioinuka dhidi yako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Ndipo huyo Mkushi akawasili na kusema, “Mfalme bwana wangu, sikia habari njema! Leo bwana amekuokoa kutoka kwa wale wote walioinuka dhidi yako.” Tazama sura |