2 Samueli 16:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Na Shimei alipolaani, alisema hivi, Nenda zako! Nenda zako! Ewe mtu wa damu! Ewe mtu usiyefaa! Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Shimei alimlaani Daudi akisema, “Nenda zako; nenda zako, wewe mtu mwuaji, mtu asiye na faida! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Shimei alimlaani Daudi akisema, “Nenda zako; nenda zako, wewe mtu mwuaji, mtu asiye na faida! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Shimei alimlaani Daudi akisema, “Nenda zako; nenda zako, wewe mtu mwuaji, mtu asiye na faida! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Shimei alivyokuwa akilaani, akasema, “Toka hapa, toka hapa, wewe mtu wa damu, wewe mtu mbaya kabisa! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Shimei alivyokuwa akilaani, akasema, “Toka hapa, toka hapa, wewe mtu wa damu, wewe mtu mbaya kabisa! Tazama sura |