2 Samueli 16:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Naye mfalme na watu wake wote waliokuwa pamoja naye wakafika, wakiwa wamechoka sana; naye akajiburudisha huko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Kisha mfalme pamoja na watu wote waliokuwa pamoja naye, wakafika mtoni wakiwa wamechoka. Basi wakapumzika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Kisha mfalme pamoja na watu wote waliokuwa pamoja naye, wakafika mtoni wakiwa wamechoka. Basi wakapumzika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Kisha mfalme pamoja na watu wote waliokuwa pamoja naye, wakafika mtoni wakiwa wamechoka. Basi wakapumzika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Mfalme na watu wote aliokuwa pamoja nao wakafika kwenye kituo chao wakiwa wamechoka. Mfalme akajiburudisha hapo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Mfalme na watu wote aliokuwa pamoja nao wakafika kwenye kituo chao wakiwa wamechoka. Mfalme akajiburudisha hapo. Tazama sura |