2 Samueli 16:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Labda BWANA atayaangalia mabaya yaliyonipata, naye BWANA atanilipa mema kwa sababu ya kunilaani kwake leo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Huenda Mwenyezi-Mungu akaangalia uovu wangu, naye akanilipa wema kwa laana hii ninayopata leo.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Huenda Mwenyezi-Mungu akaangalia uovu wangu, naye akanilipa wema kwa laana hii ninayopata leo.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Huenda Mwenyezi-Mungu akaangalia uovu wangu, naye akanilipa wema kwa laana hii ninayopata leo.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Inawezekana kwamba Mwenyezi Mungu ataona dhiki yangu na kunilipa mema kwa ajili ya laana ninayopokea leo.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Inawezekana kwamba bwana ataona dhiki yangu na kunilipa mema kwa ajili ya laana ninayopokea leo.” Tazama sura |