2 Samueli 15:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Tena ikawa hapo alipokaribia mtu yeyote kumsujudia, hunyosha mkono wake, na kumshika, na kumbusu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Zaidi ya hayo, Absalomu alinyosha mkono wake akamkumbatia na kumbusu mtu yeyote aliyekuja kumwinamia na kumsujudu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Zaidi ya hayo, Absalomu alinyosha mkono wake akamkumbatia na kumbusu mtu yeyote aliyekuja kumwinamia na kumsujudu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Zaidi ya hayo, Absalomu alinyosha mkono wake akamkumbatia na kumbusu mtu yeyote aliyekuja kumwinamia na kumsujudu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Pia, wakati mtu yeyote alipomkaribia ili kusujudu mbele yake, Absalomu alinyoosha mkono wake, na kumkumbatia na kumbusu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Pia, wakati mtu yeyote alipomkaribia ili kusujudu mbele yake, Absalomu alinyoosha mkono wake na kumshika pia kumbusu. Tazama sura |