2 Samueli 15:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Naye mfalme akamwambia Sadoki, Rudisha sanduku la Mungu mjini; nikipata kibali machoni pa BWANA atanirudisha, na kunionesha tena sanduku hili, na maskani yake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Kisha mfalme akamwambia Sadoki, “Lirudishe sanduku la agano la Mungu mjini. Kama ninakubalika mbele ya Mwenyezi-Mungu, bila shaka atanirudisha na kunijalia kuliona tena sanduku lake na kuyaona maskani yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Kisha mfalme akamwambia Sadoki, “Lirudishe sanduku la agano la Mungu mjini. Kama ninakubalika mbele ya Mwenyezi-Mungu, bila shaka atanirudisha na kunijalia kuliona tena sanduku lake na kuyaona maskani yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Kisha mfalme akamwambia Sadoki, “Lirudishe sanduku la agano la Mungu mjini. Kama ninakubalika mbele ya Mwenyezi-Mungu, bila shaka atanirudisha na kunijalia kuliona tena sanduku lake na kuyaona maskani yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Kisha mfalme akamwambia Sadoki, “Rudisha Sanduku la Mungu mjini. Ikiwa nitapata kibali mbele za Mwenyezi Mungu, atanirudisha, nami nitaliona Sanduku hili tena pamoja na Maskani yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Kisha mfalme akamwambia Sadoki, “Rudisha Sanduku la Mungu mjini. Ikiwa nitapata kibali mbele za bwana, atanirudisha, nami nitaliona Sanduku hili tena pamoja na Maskani yake. Tazama sura |