2 Samueli 15:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Hao watumishi wa mfalme wakamwambia mfalme, Angalia, sisi watumishi wako tu tayari kutenda lolote atakalolichagua bwana wetu mfalme. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Lakini watumishi wake wakamwambia, “Sisi watumishi wako, bwana wetu mfalme, tuko tayari kufanya lolote unaloamua.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Lakini watumishi wake wakamwambia, “Sisi watumishi wako, bwana wetu mfalme, tuko tayari kufanya lolote unaloamua.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Lakini watumishi wake wakamwambia, “Sisi watumishi wako, bwana wetu mfalme, tuko tayari kufanya lolote unaloamua.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Maafisa wa mfalme wakamjibu, “Watumishi wako tu tayari kufanya lolote mfalme bwana wetu analochagua.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Maafisa wa mfalme wakamjibu, “Watumishi wako tu tayari kufanya lolote mfalme bwana wetu analochagua.” Tazama sura |