2 Samueli 12:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Ndipo hasira ya Daudi ikawaka sana juu ya mtu yule; akamwambia Nathani, Aishivyo BWANA, mtu huyo aliyetenda jambo hili, hakika yake astahili kufa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Daudi aliposikia hayo, akawaka hasira dhidi ya yule tajiri. Akamwambia nabii Nathani, “Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai kwamba mtu aliyefanya jambo hilo anastahili kufa! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Daudi aliposikia hayo, akawaka hasira dhidi ya yule tajiri. Akamwambia nabii Nathani, “Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai kwamba mtu aliyefanya jambo hilo anastahili kufa! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Daudi aliposikia hayo, akawaka hasira dhidi ya yule tajiri. Akamwambia nabii Nathani, “Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai kwamba mtu aliyefanya jambo hilo anastahili kufa! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Daudi akawakwa na hasira dhidi ya mtu huyo tajiri na kumwambia Nathani, “Hakika kama Mwenyezi Mungu aishivyo, mtu huyo aliyefanya hivyo anastahili kufa! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Daudi akawakwa na hasira dhidi ya mtu huyo tajiri na kumwambia Nathani, “Hakika kama bwana aishivyo, mtu huyo aliyefanya hivyo anastahili kufa! Tazama sura |