2 Samueli 12:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Daudi akamwambia Nathani, Nimemfanyia BWANA dhambi. Nathani akamwambia Daudi, BWANA naye ameiondoa dhambi yako; hutakufa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Basi, Daudi akamwambia Nathani, “Nimetenda dhambi dhidi ya Mwenyezi-Mungu.” Nathani akamwambia, “Mwenyezi-Mungu amekusamehe dhambi yako, nawe hutakufa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Basi, Daudi akamwambia Nathani, “Nimetenda dhambi dhidi ya Mwenyezi-Mungu.” Nathani akamwambia, “Mwenyezi-Mungu amekusamehe dhambi yako, nawe hutakufa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Basi, Daudi akamwambia Nathani, “Nimetenda dhambi dhidi ya Mwenyezi-Mungu.” Nathani akamwambia, “Mwenyezi-Mungu amekusamehe dhambi yako, nawe hutakufa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Ndipo Daudi akamjibu Nathani, “Nimefanya dhambi dhidi ya Mwenyezi Mungu.” Nathani akamjibu, “Mwenyezi Mungu amekuondolea dhambi yako. Hutakufa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Ndipo Daudi akamjibu Nathani, “Nimefanya dhambi dhidi ya bwana.” Nathani akamjibu, “bwana amekuondolea dhambi yako. Hutakufa. Tazama sura |