2 Samueli 10:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Basi Yoabu na watu waliokuwa pamoja naye wakakaribia kupigana na Washami; nao wakakimbia mbele yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Basi, Yoabu na watu wake walisonga mbele kwenda kupigana na Waaramu, nao Waaramu walikimbia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Basi, Yoabu na watu wake walisonga mbele kwenda kupigana na Waaramu, nao Waaramu walikimbia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Basi, Yoabu na watu wake walisonga mbele kwenda kupigana na Waaramu, nao Waaramu walikimbia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Basi Yoabu na vikosi vyake wakasonga mbele kupigana na Waaramu, nao Waaramu wakakimbia mbele yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Basi Yoabu na vikosi vyake wakasonga mbele kupigana na Waaramu, nao Waaramu wakakimbia mbele yake. Tazama sura |