2 Samueli 10:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 akawatia nguvu watu waliosalia mkononi mwa Abishai, nduguye, akawapanga juu ya Waamoni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Wale wanajeshi wengine waliobaki aliwaweka chini ya uongozi wa ndugu yake Abishai, naye akawapanga ili wakabiliane na Waamoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Wale wanajeshi wengine waliobaki aliwaweka chini ya uongozi wa ndugu yake Abishai, naye akawapanga ili wakabiliane na Waamoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Wale wanajeshi wengine waliobaki aliwaweka chini ya uongozi wa ndugu yake Abishai, naye akawapanga ili wakabiliane na Waamoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Akawaweka waliobaki chini ya uongozi wa Abishai nduguye na kuwapanga dhidi ya Waamoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Akawaweka waliobaki chini ya uongozi wa Abishai nduguye na kuwapanga dhidi ya Waamoni. Tazama sura |