2 Samueli 1:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Walio fahari yako, Ee Israeli Juu ya mahali pako palipoinuka wameuawa; Jinsi mashujaa walivyoanguka! Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 “Walio fahari yako, ee Israeli, wameuawa milimani pako. Jinsi gani mashujaa walivyoanguka! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 “Walio fahari yako, ee Israeli, wameuawa milimani pako. Jinsi gani mashujaa walivyoanguka! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 “Walio fahari yako, ee Israeli, wameuawa milimani pako. Jinsi gani mashujaa walivyoanguka! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 “Walio fahari yako, ee Israeli, wameuawa juu ya mahali pako palipoinuka. Tazama jinsi mashujaa walivyoanguka! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 “Walio fahari yako, ee Israeli, wameuawa juu ya mahali pako palipoinuka. Jinsi wenye nguvu walivyoanguka! Tazama sura |