2 Samueli 1:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Ndipo Daudi akashika nguo zake akazirarua na kadhalika watu wote waliokuwa pamoja naye; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Daudi akayashika mavazi yake na kuyararua kwa huzuni. Hata watu waliokuwa pamoja na Daudi wakafanya vivyo hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Daudi akayashika mavazi yake na kuyararua kwa huzuni. Hata watu waliokuwa pamoja na Daudi wakafanya vivyo hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Daudi akayashika mavazi yake na kuyararua kwa huzuni. Hata watu waliokuwa pamoja na Daudi wakafanya vivyo hivyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Ndipo Daudi pamoja na watu wote waliokuwa pamoja naye wakazishika nguo zao na kuzirarua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Ndipo Daudi pamoja na watu wote waliokuwa pamoja naye wakazishika nguo zao na kuzirarua. Tazama sura |