2 Samueli 1:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Ikawa baada ya kufa kwake Sauli, hapo Daudi aliporudi katika kuwaua Waamaleki, naye Daudi amekaa siku mbili katika Siklagi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Baada ya kifo cha Shauli, Daudi alirudi baada ya kuwashinda Waamaleki, akakaa Siklagi kwa muda wa siku mbili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Baada ya kifo cha Shauli, Daudi alirudi baada ya kuwashinda Waamaleki, akakaa Siklagi kwa muda wa siku mbili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Baada ya kifo cha Shauli, Daudi alirudi baada ya kuwashinda Waamaleki, akakaa Siklagi kwa muda wa siku mbili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Baada ya kifo cha Sauli, Daudi alirudi kutoka kuwashinda Waamaleki, na akakaa siku mbili huko Siklagi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Baada ya kifo cha Sauli, Daudi alipokuwa amerudi kutoka kuwashinda Waamaleki, Daudi alikaa siku mbili huko Siklagi. Tazama sura |