2 Petro 3:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Lakini, kueni katika neema, na katika kumjua Bwana wetu na Mwokozi Yesu Kristo. Utukufu una yeye sasa na hata milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Lakini endeleeni kukua katika neema na katika kumjua Bwana wetu na Mwokozi Yesu Kristo. Utukufu uwe kwake, sasa na hata milele! Amina. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Lakini endeleeni kukua katika neema na katika kumjua Bwana wetu na Mwokozi Yesu Kristo. Utukufu uwe kwake, sasa na hata milele! Amina. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Lakini endeleeni kukua katika neema na katika kumjua Bwana wetu na Mwokozi Yesu Kristo. Utukufu uwe kwake, sasa na hata milele! Amina. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Bali kueni katika neema na katika kumjua Bwana na Mwokozi wetu Isa Al-Masihi. Utukufu una yeye sasa na milele! Amen. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Bali kueni katika neema na katika kumjua Bwana na Mwokozi wetu Isa Al-Masihi. Utukufu una yeye sasa na milele! Amen. Tazama sura |