Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Petro 2:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

22 Lakini imetukia kwao sawasawa na ile mithali ya kweli, Mbwa ameyarudia matapiko yake mwenyewe, na nguruwe aliyeoshwa amerudi kugaagaa matopeni.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Ipo methali isemayo: “Mbwa huyarudia matapishi yake mwenyewe,” na nyingine isemayo: “Nguruwe aliyekwisha oshwa hugaagaa tena katika matope!” Ndivyo ilivyo kwao sasa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Ipo methali isemayo: “Mbwa huyarudia matapishi yake mwenyewe,” na nyingine isemayo: “Nguruwe aliyekwisha oshwa hugaagaa tena katika matope!” Ndivyo ilivyo kwao sasa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Ipo methali isemayo: “Mbwa huyarudia matapishi yake mwenyewe,” na nyingine isemayo: “Nguruwe aliyekwisha oshwa hugaagaa tena katika matope!” Ndivyo ilivyo kwao sasa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Kwao mithali zimetukia kuwa za kweli, zinaposema: “Mbwa huyarudia matapiko yake mwenyewe,” tena, “Nguruwe aliyeoshwa hurudi kugaagaa matopeni.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Imetukia kwao sawasawa na ile mithali ya kweli isemayo: “Mbwa huyarudia matapiko yake mwenyewe,” tena, “Nguruwe aliyeoshwa hurudi kugaagaa matopeni.”

Tazama sura Nakili

2 Petro 2:22
3 Marejeleo ya Msalaba  

Kama vile mbwa arudiavyo matapiko yake; Kadhalika mpumbavu afanya upumbavu tena.

Na kama hilo pigo likirudi tena, na kutokea ndani ya nyumba, baada ya yeye kuyatoa hayo mawe, na baada ya kuikwangua nyumba, na baada ya kupakwa chokaa,

Mithali hiyo Yesu aliwaambia, lakini wao hawakuelewa mambo hayo aliyowaambia.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo