2 Mambo ya Nyakati 9:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Akamwambia mfalme, Habari zile nilizozisikia katika nchi yangu zihusuzo mambo yako na hekima yako ni za kweli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Basi, akamwambia mfalme, “Yote niliyosikia nchini kwangu kuhusu kazi zako na hekima yako ni ya kweli! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Basi, akamwambia mfalme, “Yote niliyosikia nchini kwangu kuhusu kazi zako na hekima yako ni ya kweli! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Basi, akamwambia mfalme, “Yote niliyosikia nchini kwangu kuhusu kazi zako na hekima yako ni ya kweli! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Akamwambia mfalme, “Taarifa niliyosikia kwenye nchi yangu mwenyewe kuhusu mafanikio na hekima yako ni kweli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Akamwambia mfalme, “Taarifa niliyosikia kwenye nchi yangu mwenyewe kuhusu mafanikio na hekima yako ni kweli. Tazama sura |