2 Mambo ya Nyakati 9:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Naye Sulemani akalala na baba zake, akazikwa mjini mwa Daudi babaye; Rehoboamu mwanawe akatawala badala yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Hatimaye Solomoni alifariki dunia na kuzikwa katika mji wa Daudi baba yake. Rehoboamu, mwanawe, akatawala mahali pake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Hatimaye Solomoni alifariki dunia na kuzikwa katika mji wa Daudi baba yake. Rehoboamu, mwanawe, akatawala mahali pake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Hatimaye Solomoni alifariki dunia na kuzikwa katika mji wa Daudi baba yake. Rehoboamu, mwanawe, akatawala mahali pake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Kisha Sulemani akalala na baba zake, naye akazikwa katika mji wa Daudi, baba yake. Naye Rehoboamu mwanawe akawa mfalme baada yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Kisha Sulemani akalala pamoja na baba zake, naye akazikwa katika mji wa Daudi baba yake. Naye Rehoboamu mwanawe akawa mfalme baada yake. Tazama sura |