Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 9:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

30 Sulemani akatawala katika Yerusalemu juu ya Israeli wote miaka arubaini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Solomoni alitawala nchi yote ya Israeli kwa miaka arubaini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Solomoni alitawala nchi yote ya Israeli kwa miaka arubaini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Solomoni alitawala nchi yote ya Israeli kwa miaka arubaini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Sulemani alitawala Israeli yote miaka arobaini akiwa Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Sulemani alitawala Israeli yote miaka arobaini, akiwa Yerusalemu.

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 9:30
2 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo Sulemani akaketi katika kiti cha enzi cha BWANA, awe mfalme badala ya Daudi babaye, akafanikiwa; nao Israeli wote wakamtii.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo