Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 9:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 Naye malkia wa Sheba alipoona hekima ya Sulemani, na nyumba aliyoijenga,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Malkia wa Sheba alipoiona hekima ya Solomoni na nyumba aliyokuwa ameijenga,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Malkia wa Sheba alipoiona hekima ya Solomoni na nyumba aliyokuwa ameijenga,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Malkia wa Sheba alipoiona hekima ya Solomoni na nyumba aliyokuwa ameijenga,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Malkia wa Sheba alipoona hekima yote ya Sulemani, na jumba la kifalme alilokuwa amejenga,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Malkia wa Sheba alipoona hekima yote ya Sulemani na jumba la kifalme alilokuwa amejenga,

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 9:3
7 Marejeleo ya Msalaba  

Naye Sulemani akamfumbulia maswali yake yote; wala hakukuwa na neno aliloshindwa mfalme asimwambie.


Naye Sulemani akamfumbulia maswali yake yote; wala halikuwako neno alilofichiwa Sulemani, asimwambie.


na vyakula vya mezani mwake, na kikao cha maofisa wake, na huduma ya watumishi wake na mavazi yao; pia wanyweshaji wake na mavazi yao; na daraja yake ya kupandia mpaka nyumba ya BWANA; roho yake ilizimia.


Yatafakarini maua jinsi yameavyo; hayatendi kazi wala hayasokoti; nami nawaambia ya kwamba hata Sulemani katika fahari yake yote hakuvikwa vizuri kama mojawapo la hayo.


Naye, alipofika na kuiona neema ya Mungu akafurahi, akawasihi wote waambatane na Bwana kwa moyo wote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo