2 Mambo ya Nyakati 9:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Naye Sulemani akamfumbulia maswali yake yote; wala halikuwako neno alilofichiwa Sulemani, asimwambie. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Solomoni aliyajibu maswali yote; hapakuwapo na jambo lolote aliloshindwa kumweleza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Solomoni aliyajibu maswali yote; hapakuwapo na jambo lolote aliloshindwa kumweleza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Solomoni aliyajibu maswali yote; hapakuwapo na jambo lolote aliloshindwa kumweleza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Sulemani alimjibu maswali yake yote, wala hakukuwa na jambo lolote lililokuwa gumu kwake hata asiweze kumwelezea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Sulemani akamjibu maswali yake yote, wala hakukuwa na jambo lolote lililokuwa gumu kwake asiweze kumwelezea. Tazama sura |