2 Mambo ya Nyakati 9:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Tena mfalme akafanya kiti cha enzi kikubwa cha pembe, akakifunikiza kwa dhahabu iliyo safi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Hali kadhalika mfalme alitengeneza kiti cha enzi kikubwa cha pembe, akakifunikiza dhahabu safi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Hali kadhalika mfalme alitengeneza kiti cha enzi kikubwa cha pembe, akakifunikiza dhahabu safi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Hali kadhalika mfalme alitengeneza kiti cha enzi kikubwa cha pembe, akakifunikiza dhahabu safi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Kisha mfalme akatengeneza kiti kikubwa cha kifalme kwa kutumia pembe za ndovu na kukifunika kwa dhahabu safi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Kisha mfalme akatengeneza kiti kikubwa cha kifalme kwa kutumia pembe za ndovu na kukifunika kwa dhahabu safi. Tazama sura |