2 Mambo ya Nyakati 9:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Basi uzani wa dhahabu iliyomfikia Sulemani mwaka mmoja, ni talanta mia sita sitini na sita za dhahabu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Kila mwaka, Solomoni alipelekewa dhahabu kadiri ya kilo 23,000, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kila mwaka, Solomoni alipelekewa dhahabu kadiri ya kilo 23,000, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kila mwaka, Solomoni alipelekewa dhahabu kadiri ya kilo 23,000, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Uzito wa dhahabu ambayo Sulemani alipokea kwa mwaka ulikuwa talanta mia sita sitini na sita (666), Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Uzito wa dhahabu ambayo Sulemani alipokea kwa mwaka ulikuwa talanta 666, Tazama sura |