Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 8:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Akaujenga Tadmori wa nyikani, na miji yote ya hazina, aliyoijenga katika Hamathi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 na kuujenga mji wa Tadmori nyikani. Aliijenga upya miji ya ghala iliyokuwa huko Hamathi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 na kuujenga mji wa Tadmori nyikani. Aliijenga upya miji ya ghala iliyokuwa huko Hamathi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 na kuujenga mji wa Tadmori nyikani. Aliijenga upya miji ya ghala iliyokuwa huko Hamathi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Pia akajenga mji wa Tadmori katika jangwa, na miji yote ya kuhifadhia vitu katika Hamathi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Pia akajenga mji wa Tadmori katika jangwa na miji yote ya kuhifadhia vitu katika Hamathi.

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 8:4
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na Tou, mfalme wa Hamathi, aliposikia ya kwamba Daudi amewapiga jeshi lote la Hadadezeri,


Ukuu wake Yehoshafati ukazidi sana; akajenga katika Yuda ngome na miji ya hazina.


Naye Sulemani akaenda Hamath-zoba, akauteka.


Tena akaujenga Beth-horoni wa juu, na Beth-horoni wa chini, miji yenye boma, yenye kuta, na malango, na makomeo;


Basi wakaweka wasimamizi juu yao wawatese kwa mizigo yao. Nao wakamjengea Farao miji ya kuwekea akiba, Pithomu na Ramesesi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo