2 Mambo ya Nyakati 8:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 ndipo Sulemani akaijenga miji ile Hiramu aliyompa Sulemani, akawapa makao humo wana wa Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Solomoni aliijenga upya miji aliyopewa na Huramu, halafu akawapa Waisraeli miji hiyo waishi humo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Solomoni aliijenga upya miji aliyopewa na Huramu, halafu akawapa Waisraeli miji hiyo waishi humo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Solomoni aliijenga upya miji aliyopewa na Huramu, halafu akawapa Waisraeli miji hiyo waishi humo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Sulemani akajenga tena vijiji vile ambavyo Hiramu alikuwa amempa, naye akawapa Waisraeli waishi humo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Sulemani akajenga tena vijiji vile ambavyo Hiramu alikuwa amempa, naye akawapa Waisraeli waishi humo. Tazama sura |