Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 8:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Ndipo Sulemani akaenda Esion-geberi, na Elothi, pwani ya nchi ya Edomu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Kisha Solomoni alikwenda Esion-geberi na Elothi iliyo pwani mwa bahari, katika nchi ya Edomu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Kisha Solomoni alikwenda Esion-geberi na Elothi iliyo pwani mwa bahari, katika nchi ya Edomu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Kisha Solomoni alikwenda Esion-geberi na Elothi iliyo pwani mwa bahari, katika nchi ya Edomu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Ndipo Sulemani akaenda Esion-Geberi na Elathi katika pwani ya Edomu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Ndipo Sulemani akaenda Esion-Geberi na Elathi katika pwani ya Edomu.

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 8:17
8 Marejeleo ya Msalaba  

Yehoshafati akafanya merikebu za Tarshishi ziende Ofiri kuchukua dhahabu; lakini hazikuenda; kwa maana merikebu zilivunjika huko Esion-geberi.


Huyo akajenga Elathi, akaurudisha kwa Yuda, baada ya kulala mfalme pamoja na babaze.


Wakati huo Resini mfalme wa Shamu akawarudishia Washami Elathi, akawafukuza Wayahudi kutoka Elathi; nao Washami wakaja Elathi, wakakaa humo hata leo.


akapatana naye wakazitengeneza merikebu za kuendea Tarshishi; wakazifanya merikebu zile huko Esion-geberi.


Basi ikatengenezwa kazi yote ya Sulemani hata siku ya kutiwa msingi wa nyumba ya BWANA, na hata ilipokwisha. Hivyo ikamalizika nyumba ya BWANA.


Wakasafiri kutoka Abrona, wakapiga kambi Esion-geberi.


Basi tukapita kando yao ndugu zetu wana wa Esau, waishio Seiri kutoka njia ya Araba, kutoka Elathi na kutoka Esion-geberi. Tukageuka tukapita njia ya bara ya Moabu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo