2 Mambo ya Nyakati 8:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Basi ikatengenezwa kazi yote ya Sulemani hata siku ya kutiwa msingi wa nyumba ya BWANA, na hata ilipokwisha. Hivyo ikamalizika nyumba ya BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Basi miradi yote ya Solomoni aliyofanya tangu jiwe la msingi wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu lilipowekwa ilikamilika. Hivyo nyumba ya Mwenyezi-Mungu ilimalizika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Basi miradi yote ya Solomoni aliyofanya tangu jiwe la msingi wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu lilipowekwa ilikamilika. Hivyo nyumba ya Mwenyezi-Mungu ilimalizika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Basi miradi yote ya Solomoni aliyofanya tangu jiwe la msingi wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu lilipowekwa ilikamilika. Hivyo nyumba ya Mwenyezi-Mungu ilimalizika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Kazi yote ya Mfalme Sulemani ilifanyika kuanzia siku msingi wa Hekalu la Mwenyezi Mungu ulipowekwa hadi kukamilika kwake. Kwa hiyo Hekalu la Mwenyezi Mungu likamalizika kujengwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kazi yote ya Mfalme Sulemani ilifanyika kuanzia siku msingi wa Hekalu la bwana ulipowekwa mpaka kukamilika kwake. Kwa hiyo Hekalu la bwana likamalizika kujengwa. Tazama sura |