2 Mambo ya Nyakati 8:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Ndipo Sulemani akamtolea BWANA sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu ya BWANA, aliyoijenga mbele ya ukumbi, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Solomoni alimtolea Mwenyezi-Mungu tambiko za kuteketeza juu ya madhabahu aliyokuwa amemjengea Mwenyezi-Mungu mbele ya ukumbi wa hekalu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Solomoni alimtolea Mwenyezi-Mungu tambiko za kuteketeza juu ya madhabahu aliyokuwa amemjengea Mwenyezi-Mungu mbele ya ukumbi wa hekalu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Solomoni alimtolea Mwenyezi-Mungu tambiko za kuteketeza juu ya madhabahu aliyokuwa amemjengea Mwenyezi-Mungu mbele ya ukumbi wa hekalu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Mfalme Sulemani akamtolea Mwenyezi Mungu dhabihu za kuteketezwa juu ya madhabahu ya Mwenyezi Mungu ambayo alikuwa ameijenga mbele ya ukumbi, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Mfalme Sulemani akamtolea bwana dhabihu za kuteketezwa juu ya madhabahu ya bwana ambayo alikuwa ameijenga mbele ya ukumbi, Tazama sura |
Tena itakuwa kazi ya mkuu kutoa hizo sadaka za kuteketezwa, na sadaka za unga, na sadaka za vinywaji, katika sikukuu, na katika mwezi mpya, na katika sabato, katika sikukuu zote za nyumba ya Israeli zilizoamriwa; atatengeneza sadaka ya dhambi, na sadaka ya unga, na sadaka ya kuteketezwa, na sadaka za amani, ili kufanya upatanisho kwa ajili ya nyumba ya Israeli.