Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 8:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 Na hao walikuwa maofisa wakuu wa Sulemani, watu mia mbili na hamsini, waliotawala juu ya watu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Ifuatayo ndiyo jumla ya maofisa wakuu wa mfalme Solomoni: Walikuwa 250, waliokuwa na mamlaka juu ya watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Ifuatayo ndiyo jumla ya maofisa wakuu wa mfalme Solomoni: Walikuwa 250, waliokuwa na mamlaka juu ya watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Ifuatayo ndiyo jumla ya maofisa wakuu wa mfalme Solomoni: walikuwa 250, waliokuwa na mamlaka juu ya watu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Pia walikuwa maafisa wakuu wa Mfalme Sulemani, maafisa wakaguzi mia mbili na hamsini waliosimamia watu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Pia walikuwa maafisa wakuu wa Mfalme Sulemani, yaani, maafisa wakaguzi 250 waliosimamia watu.

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 8:10
5 Marejeleo ya Msalaba  

mbali na maafisa wake Sulemani waliokuwa wakuu wa kazi wa watu elfu tatu waliotenda kazi.


Hao maofisa wakuu, waliokuwa juu ya kazi yake Sulemani, walikuwa mia tano na hamsini, waliowasimamia watu watendao kazi.


Katika hao akawaweka elfu sabini wawe wapagazi na elfu themanini wawe wachonga mawe milimani, na elfu tatu na mia sita wewe wasimamizi ili wawahimize watu kazini.


Sulemani akamleta binti Farao kutoka mji wa Daudi mpaka nyumba aliyomjengea; kwa kuwa alisema, Mke wangu hatakaa nyumbani mwa Daudi mfalme wa Israeli, kwa kuwa ni patakatifu, mahali palipofika sanduku la BWANA.


Wala katika wana wa Israeli Sulemani hakuwafanya watumwa kazini mwake; lakini hao walikuwa watu wa vita, na wakuu wa majemadari wake, na makamanda wa magari yake na wa wapanda farasi wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo