Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 8:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

1 Ikawa miaka ishirini ilipopita, ambayo katika hiyo Sulemani aliijenga nyumba ya BWANA, na nyumba yake mwenyewe;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Miaka ishirini, ambayo Solomoni aliijenga nyumba ya Mwenyezi-Mungu na ikulu ilipokwisha kupita,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Miaka ishirini, ambayo Solomoni aliijenga nyumba ya Mwenyezi-Mungu na ikulu ilipokwisha kupita,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Miaka ishirini, ambayo Solomoni aliijenga nyumba ya Mwenyezi-Mungu na ikulu ilipokwisha kupita,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Miaka ishirini ilipopita, ambayo katika hiyo Sulemani alilijenga Hekalu la Mwenyezi Mungu na jumba lake mwenyewe la kifalme,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Miaka ishirini ilipopita, ambayo katika hiyo Sulemani alilijenga Hekalu la bwana na jumba lake mwenyewe la kifalme,

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 8:1
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na katika mwaka wa kumi na mmoja, katika mwezi wa Buli, ndio mwezi wa nane, nyumba ikaisha, mambo yake yote, kulingana na kanuni zote. Basi muda wa miaka saba alikuwa katika kuijenga.


Naye Sulemani alikuwa katika kuijenga nyumba yake mwenyewe miaka kumi na mitatu, akaimaliza nyumba yake yote.


Ikawa Sulemani alipokwisha kuijenga nyumba ya BWANA, na nyumba ya mfalme, na mambo yote yaliyoingia moyoni mwake Sulemani, naye akataka kuyafanya,


ndipo Sulemani akaijenga miji ile Hiramu aliyompa Sulemani, akawapa makao humo wana wa Israeli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo