2 Mambo ya Nyakati 7:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Ndipo mfalme na watu wote wakatoa dhabihu mbele za BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Kisha mfalme Solomoni na watu wote walimtolea Mwenyezi-Mungu tambiko. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Kisha mfalme Solomoni na watu wote walimtolea Mwenyezi-Mungu tambiko. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Kisha mfalme Solomoni na watu wote walimtolea Mwenyezi-Mungu tambiko. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Ndipo mfalme na watu wote wakatoa dhabihu mbele za Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Ndipo mfalme na watu wote wakatoa dhabihu mbele za bwana Mwenyezi Mungu. Tazama sura |