Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 6:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

35 basi uyasikie huko mbinguni wayaombayo, na kusihi, ukaitetee haki yao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 nakusihi usikie sala yao na maombi yao ukiwa huko mbinguni na uwapatie ushindi vitani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 nakusihi usikie sala yao na maombi yao ukiwa huko mbinguni na uwapatie ushindi vitani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 nakusihi usikie sala yao na maombi yao ukiwa huko mbinguni na uwapatie ushindi vitani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 basi usikie dua na maombi yao ukiwa mbinguni, ukawape haki yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 basi usikie dua na maombi yao kutoka mbinguni, ukawatetee haki yao.

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 6:35
6 Marejeleo ya Msalaba  

Ikiwa watu wako wametoka kupigana na adui zao, utakakowatuma kokote, wakikuomba kuuelekea mji huu uliouchagua, na nyumba hii niliyoijenga kwa jina lako;


Wakikukosa, (maana hakuna mtu asiyekosa), hata uwakasirikie, na kuwatia mikononi mwa adui zao, wawahamishe, na kuwachukua mateka mpaka nchi iliyo mbali au iliyo karibu;


Wamenenepa sana, wang'aa; naam, wamepita kiasi kwa matendo maovu; hawatetei madai ya yatima, ili wapate kufanikiwa; wala hawaamui haki ya mhitaji.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo